Bila shaka kama umewahi kufanya manunuzi ya vitu hususani vitu vitumiavyo umeme, utakua umekutana na lebo yenye neno “WARRANTY” ama “GUARANTEE”.
Na mara zote maneno haya huambatana na muda maalumu, mfano warantii miaka 2 au garantii miaka 2, unaweza ukajiuliza je haya maneno yana maana gani haswa?
Global Tv imeingia mtaani kuongea na wadau kuhusu uelewa wao juu ya garantii na warantii.
