×

IDD AMIN: Darasa La Nne Aliyetikisa UGANDA, Akatiwa Adabu na NYERERE – VIDEO

IDD AMIN DADA OUME wa Uganda ni Mwafrika pekee aliyebebwa kichwani na wazungu kama wao walivyotufanyia enzi za utumwa.

Dunia ikashangaa, Afrika ikaduwaa, Waganda wakashangilia wasijue baada ya wenzao ni wao! Kweli alipowamaliza wageni alihamia kwa waganda waliofikiri tofauti na yeye.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club