×

VIDEO: ‘BAKI MULE MULE’ NA VODACOM YAWANUFAISHA BODABODA

Mtandao supa wa simu za mkononi nchini, Vodacom, msimu huu wa sikukuu umeongeza kiwango cha  kugawa zawadi kwa wateja wake hadi kufikia shilingi bilioni moja, kupitia Tuzo Points.

 

Tuzo Points hizo zimekuwa zikitolewa kwa wateja wa VODACOM kila wanapotumia huduma zake mbalimbali, kama vile kuongeza salio, kununua vifurushi na kulipia huduma mbalimbali kwa njia ya M-Pesa.

Ili kujiongezea nafasi ya kushinda kwa mteja wa Vodacom, pakua M-Pesa App, ongeza muda wa maongezi na kufanya miamala ujikusanyie Tuzo Points nyingi zaidi ambazo unaweza kuzibadilisha na kuzitumia kadrio utakavyo, kutoka muda wa maongezi au kifurushi  hadi fedha ya kulipia chochote kwa M-Pesa .

Ndiyo maana Vodacom wanakwambia Baki Mule Mule, huna sababu ya kwenda kule! Yajayo yanafurahisha!