Kipindi cha Spoti Hausi kitakuwa hewani tena leo kukuletea mambo mengi, lakini kubwa zaidi mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara zinazoendelea, mechi ya Simba na Yanga iliyopita, wapi Simba walikosea na wapi Yanga walikosea, pamoja na mambo mengine mengi.