×

Tangaza na BETIKA Kwa bei Ndogo Tu, Upate Faida KUUUBWA

Gazeti la Betika linakaribisha watangazaji kutoka makampuni mbalimbali yakiwemo ya kubeti, lotto, simu na biashara nyingine zozote kwa ajili ya kutangaza huduma zao.

Kutangaza na Gazeti la BETIKA ambalo linaingia mitaani kila Jumatano na kusambazwa mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar kuna faida kubwa, kwa sababu hufika kwa watu wengi ndani ya muda mfupi.

Kwa yeyote ambaye anatangaza na Gazeti la BETIKA pia atapata ofa ya kutangazwa bure katika mitandao mbalimbali ya kijamii na tovuti pamoja na channel za online.

Kumbuka kuwa unaweza kuanza kutangaza na BETIKA hata kwa shilingi laki moja tu!

Kumbuka kuwa ukitangaza na BETIKA utapata ofa ya biashara yako kutangazwa katika channel ya YouTube ya Global TV Online, tovuti ya Global Publishers na kurasa zote za mitandao ya kijamii ya Global Publishers. Unakaribishwa sana BETIKA!

Kwa mawasiliano zaidi fika ofisini kwetu Sinza Mori kwenye jingo la Global Group mkabala na Wanyama Hoteli jijini Dar es Salaam, au wasiliana nasi kwa namba, 0755-826488, 0712-595636 na 0659-472001 au barua pepe: [email protected]