
MSANII wa filamu Bongo na mwanamitindo, Jacquline Wolper amemjibu mwanamke wa sasa wa aliyewahi kuwa mchumba wake, Harmonize aitwaye Sarah.
Hiyo inatokana na wimbo ambao alionekana kuuimba katika akaunti yake ya instagram wa mapensi mabaya akimaanisha ‘mapenzi mabaya’ na yeye kubadilisha na kuimba kinyume.
Akizungumza na Spoti Xtra, Wolper alisema kuwa amejisikia tu kuimba kinyume k u w a mapensi mazuri. “Lakini watu wan a z u n g u m z a vingine kwamba n a m chokoza l a k i n i s i v y o hivyo.

“Nimejisikia tu kuimba haijalishi yeye ndiye ameanza kuimba lakini mimi nikaona niimbe kinyume na yeye alivyoimba ni vile nimejisikia tu kufanya hivyo,”alisema Wolper.