Umati wa wananchi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kupokea mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.