×

MAJONZI: MAZISHI ya Sheikh Zuberi Yahya Dar – Video

Mazishi ya aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Mtoro, Sheik Zuberi Yahya Mussa, yamefanyika jana Jumanne, Machi 5, 2019, katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

Mazishi hayo yamehudhuriwa na mamia ya waumini wa dini ya Kiislam na wasio Waislamu, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa, wabunge, madiwani na wananchi ambao walijitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Sheikh Zuberi.

VIDEO: TAZAMA MAZISHI HAYO HAPA