MAGUFULI ASHIRIKI JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MT. JOSEPH
Global Publishers March 6, 2019
SHARE THIS:
Rais John Magufuli akipakwa majivu na Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam, Joseph Mosha, wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019.