
Kampuni ya Addscoin Tanzania Limited inayojihusisha na utunzaji wa mazingira na matumizi ya sarafu za kidigitali imetanza rasmi kuanza kuendesha teknolojia ya Block Chain na sarafu za kidigitali ambapo imepata kibali kutoka brela cha kuendesha biashara na kubuni miradi kwa msaada wa teknolojia hiyo ambayo itawawezesha watumiaji kulipa kodi bila usumbufu.
Mpaka sasa kampuni hii inaendelea kuwaelimisha wananchi juu ya teknolojia ya Block Chain ambayo itaiwezesha nchi katika maendeleo ya uchumi wa viwanda na kuwekeza kwenye mradi wa IRA (Insetive reserch africa) ambapo malipo yake yatatumia sarafu ya deligence.
Addscoin kwa kushirikiana na taasisi ya utunzaji mazingira ya Wetaaifico wameanza kampeni ya utunzaji mazingira duniani.
Matukio katika Picha:



HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL