×

PICHA: MAANDALIZI YA KUMPOKEA LOWASSA MONDULI USIPIME!

BAADA ya kurejea kwenye chama chake cha awali — Chama cha Mapinduzi (CCM) —  waziri mkuu mstaafu,  Edward Lowassa,  leo anatarajiwa kupokelewa kwa kishindo mjini Monduli na baadaye kuzungumza na wanachama wa chama hicho.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole (katikati) akipokelewa mjini Monduli.
…Akisalimiana na wanachama wa  (CCM).
Burudani za mapokezi.
Wanachama wa CCM wakiwa tayari kumpokea Lowassa.

PICHA NA UDAKUTZ | MONDULI – ARUSHA