×

LIVE MSIBANI: Mwili wa KIBONDE Ukiagwa Mbezi Africana, Kuzikwa Dar Leo

Marehemu Ephraim Kibonde enzi za uhai wake.


MWILI wa aliyekuwa mtangazaji mahiri wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde utaagwa leonyumbani kwao Mbezi Africana jijini Dar es Salaam saa nne na nusu asubuhi. Saa sita watu watapata chakula cha mchana ikifuatiwa na ibada na baada ya hapo safari ya makaburini.  Atazikwa saa 9, alasiri katika makaburi ya Kinondoni.