×

VIDEO: HARMONIZE Afunguka Kumpindua DIAMOND, Kuondoka WCB?


Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, amepiga stori na Global TV na kuungumzia EP yake ya Afro Bongo ambayo ameiachia hivi karibuni ikiwa ni nyimbo nne ambazo zote ni kolabo za kimataifa….