×

POPATY: Amkubali Zahera Aipa Ubingwa Yanga – Video


CEO wa klabu ya Azam FC amesema kuwa anaelewa sana mchango wa kocha mkuu wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera huku akisema anaamini kuwa anafanya vizuri kuliko kocha mwingine yoyote kwa hivi sasa ambaye hakuna anayeza kushika nafasi yake pindi atakapo ondoka katika kikosi hicho.