×

DAVIDO KUTUMBUIZA TAMASHA LA SUMMER JAM


MWANAMUZIKI maarufu kutoka Nigeria, Davido ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa watakaotumbuiza kwenye Tamasha kubwa la Summer Jam lililoandaliwa na Kituo maarufu cha radio, Hot 97 cha nchini Marekani.

Davido atapanda jukwaa moja na mastaa wa Markani wakiwmo, Card B, Meek Mill, Migos, Tory Lanez, A Boogie, Rich The Kid, Funk Flex, Davido, Casanova, Melii, City Girls, Megan Thee Stallion & Kash Doll, Trippie Redd, City Girls, Blueface, Melii, Nicole Bus & G4 Boyz na wengine kibao wa Hip Hop katika Tamasha hilo litakalofanyika, Jumapili, Juni 2, 2019 katika uwanja wa Mtlife Stadium.