
FT TP Mazembe 4-1 Simba
Goooool Okwi dk ya 2 Simba
Gooool Mazembe chongo dk ya 23 Mazembe
Goooool Elia Meshack dk ya 38 Mazembe
Goooool Tresor Mputu dk ya 62 Mazembe
Goooool Jackson Muleka dk ya 75 Mazembe
Simba wamefanya mabadiliko ametoka Mzamiru Yassin anaingia Meddie Kagere. Mpira kwa sasa ni Kipindi cha pili
Dakika 45 zimekamilika imeongezwa dakika moja
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kati ya TP Mazembe na Simba unaendelea kwa sasa nchini Congo
Kwa sasa ni kipindi cha kwanza ambapo hakuna timu ya Simba imeanza kupata bao la kwanza kupitia kwa Emanuel Okwi akimalizia pasi ya Niyonzima.
Timu zote zimeanza kwa kushambulaina huku kila mmoja akitafuta sehemu ya kutokea.
Mashabiki wa Mazembe wamejitokeza kama wote kushangilia timu ya Mazembe huku wa Simba wakiwa wamejitokeza kiasi chake