Mtoto wa muigizaji mkongwe wa Bongo movie Ivyonne Cherry ‘Monalisa’ ambaye alikua (Host) kwenye tuzo za Awaffest 2019 tuzo ambazo zimefanyika kwa mara ya kwanza zikiandaliwa na mama wa mtoto huyo, Sonia amefunguka juu ya uwezo wake wa kua host na jinsi ilivyokua.