×

RC MWANRI TENA: KAMATA OFISA HUYU, SUKUMA NDANI – VIDEO

Ofisa Kilimo wa Kata ya Chama, mkoani Tabora, Gasper Olimba amejikuta akiswekwa ndani kwa agizo la Mkuu wa Mkoa huo, Aggrey Mwanri ‘Mzee wa Sukuma Ndani’ baada ya kukutwa akiuza madawa ya kilimo kinyume cha sheria.

 

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO HAPA