×

Tamko la Chadema Kuhusu Sakata la Serikali na IMF – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeonyeshwa kushtushwa na ukimya wa serikali kufuatia madai mazito ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuwa serikali ya Tanzania haijaruhusu uchapishaji wa ripoti ya hali ya uchumi nchini ambapo kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu jambo hilo.

Taarifa hiyo ni ifuatayo chini:

 

Aidha, Waziri wa Fedha, Dkt. Phillip Mpango amelieleza Bunge leo mjini Dodoma kuwa Serikali iko katika majadiliano na IMF kuhusu ripoti ya Tanzania na kuna siku 14 za kujadiliana kufuatia wataalamu waliotumwa awali kutozingatia hoja za upande wa Serikali kama ulivyo utaratibu.

 

BREAKING | Kumekucha, LIPUMBA Alipuka TENA, Kuhusu UCHUMI wa Nchi!