×

Arusha: Wakili Apotea Katika Mazingira ya Kutatanisha

Mwanasheria wa Hifadhi ya Wanyamapori Arusha, Maneno Mbunda amepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu Aprili 28, 2019. Kwa mujibu wa rafiki zake, alikamatwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni askari wasio na sare eneo la Usa River, wakiwa na magari yasiyo na namba za usajili.