×

VIDEO: KUAGWA KWA MWILI WA MENGI VIWANJA VYA KARIMJEE DSM -VIDEO

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, unatarajiwa kuagwa leo Mei 07, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.