×

Dkt. Shika Upo? Tukutane Bandarini Jumamosi, Njoo Ufanye Yako! – Video

Kampuni ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd, inakuletea mnada mkubwa wa hadhara utakaotikisa DSM, Jumamosi hii, Mei 11, 2019.

 

Unaruhusiwa kwenda kukagua bidhaa zote zitakazouzwa kwenye LCDs zilizopo ofisi za LW9, Bandarini, nyuma ya Police Central kuanzia kesho Alhamisi ili siku ya mnada uchukue chako mapema.

 

Yapo magari, vifaa vya ujenzi nondo, tiles na vitu kibao. Mnada huu utaanza Jumamosi saa 4:00, Ubungo.

Tambaza pia, inawataarifu wananchi wote kuwa mnada wa vitu mbalimbali yakiwemo magari uliyokuwa ufanyike kesho Alhamisi, Mei 9, 2019, katika Yadi yao iliyopo Salasala DSM, umeahirishwa hadi siku nyingine itakayopangwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao.

Tambaza wanakuomba radhi wewe mdau wao kwa usumbufu wowote uliyojitokeza.

Stay tuned any day mnada ukitangazwa, dondoka pale ukachukue vyombo kama vyote, yamo magari, vifaa na ujenzi na vitu kibao zikiwemo fenicha na nyingine nyiiiingiiiii!

Tazama Video Hii