×

Rais Magufuli Azungumza na Makatibu Tawala, Makatibu Tarafa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makatibu Tawala wa Wilaya zote pamoja na  Makatibu Tarafa wa Tarafa zote katika Kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU