RAIS MAGUFULI AFIKA KUTOA POLE KWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR KWA KUFIWA NA MKE
Global Publishers June 23, 2019
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala (Mabodi) Mikocheni jijini Dar es salaam ambaye amefiwa na mkewe Dkt. Badria Abubaker Gunar aliyefariki dunia June 22, 2019 jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli leo Juni 23, 2019 amefika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala (Mabodi) Mikocheni jijini Dar es salaam ambaye amefiwa na mkewe Dkt. Badria Abubaker Gunar aliyefariki dunia June 22, 2019 jijini Dar es salaam.
Rais Magufuli akiomba dua maalumu na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala (Mabodi) pamoja na familia yake nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es salaam kumuombea marehemu Dkt. Badria Abubaker Gunar(Mke wa Naibu katibu mkuu CCM Znz) aliyefariki dunia June 22, 2019 jijini Dar es salaam.Rais Magufuli akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu Profesa Frolence Luoga akizungumza mara baada ya dua maalumu ya kumuombea marehemu Dkt. Badria Abubaker Gunar Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala (Mabodi) ambaye pia alikuwa ni mtumishi wa Benki Kuu (BOT) ,aliyefariki dunia June 22, 2019 jijini Dar es salaam.Rais Magufuli akiwa msibani wakati wa dua maalumu ya kumuombea marehemu Dkt. Badria Abubaker Gunar Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala (Mabodi) ambaye pia alikuwa ni mtumishi wa Benki Kuu (BOT), aliyefariki dunia June 22, 2019 jijini Dar es salaam.Rais Magufuli akiagana na Mdau wa Michezo Mzee Kilomoni pamoja na waombolezaji wengine mara baada ya dua maalumu ya kumuombea marehemu Dkt. Badria Abubaker GunarRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala (Mabodi) mara baada ya kumpa pole kufuatia kifo cha mkewe Dkt. Badria Abubaker Gunar Mikocheni Jijini Dar es salaam, aliyefariki dunia June 22, 2019 jijini Dar es salaam.