×

JPM Amtumbua Mkurugenzi wa Kyela

Rais Dk Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, Lucy Mganga kutokana na utendaji kazi wake usioridhisha.