Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania kwa mwaka 2017/18, ilibaini vitabu vitatu vya makusanyo ya fedha vya Halmashauri ya Meru mkoani Arusha kutoonekana hali iliyomfanya Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo kuagiza kukamatwa kwa waliosababisha upotevu huo