Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wa ziara yake ya siku tatu nchini humo. Mapokezi hayo yamefanyika katika Makazi ya Rais yaliyopo Mji wa Bogor leo tarehe 25 Januari 2024.


