
Rais Magufuli amemteua Ndg. Julius S. Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma. Mtatiro anachukua nafasi ya Juma Z. Homera ambaye ameteuliwa kuwa RC wa Katavi
Mnamo Agosti 11, 2018 Julius Mtatiro, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, alijiengua na kujiunga na CCM
