MWIGIZAJI mkubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka juu ya ujio wao mpya kupitia SwahiliFlix na pia amefunguka alivyoanza safari ya kuigiza na marehemu Marehemu Steven Kanumba.