×

VIDEO: HARMONIZE AIBUKA NA SURPRISE STEJINI MWANZA!

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kutoka WCB, Harmonize A.k.a Konde Boy, amefanya maangamizi ya kufa MTU katika tamasha la Wasafi Festival Mkoani Mwanza lililofanyika Usiku wa Julai 27, katika viwanja vya Rock City Mall…

Harmonize amewafanyia Surprise Mashabiki wake wa Mwanza kwa Kumpandisha Mwanamuziki kutoka Nigeria, Sey Shay, na kuimba nae jukwaani, kitu ambacho kiliibua shangwe Uwanjani hapo