×

Mama Magufuli Amzawadia Mke wa Rais Ramaphosa

MAMA Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini, Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa, baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

…Akimkabidhi mgeni wake zawadi ya picha.

 

Mama Motsepe-Ramaphosa akishukuru kupewa zawadi hiyo.

PICHA NA IKULU