Hivi sasa huko mitandaoni stori kubwa ni kuhusiana na mwanamuziki, Diamond Platnumz, ambaye ameshangaza wengi kutokana na staili yake mpya ya kwenda mahali akiwa na mabaunsa zaidi ya saba wote wakimlinda yeye tu, kitu ambacho hapo awali alikuwa hakifanyi, kama unamuona Diamond na baunsa zamani basi hawazidi watatu….
Tazama video hii ujionee alivyoongozana na mabaunsa wake wengi mapema leo alipowasili katika hotel ya Hyatta Regency, kutangazwa kuwa balozi rasmi wa sabuni ya Niceone