×

China Ya Adhimisha Miaka 70 Kwa Gwaride La Kijeshi

 Chinese troops march during a military parade in Tiananmen Square in Beijing on October 1

WANAICHI Chini China wamkejitokeza leo katika eneo la Tiananmen Square mjini Beijing kushuudia  gwaride la maadhimisho ya miaka 70 kwa gwaride la kijeshi la askari wapatao 188.

 A formation of Dongfeng-17 conventional missiles at today's military paradeMakombora haina ya Dongfeng-17 ya shabaa za mabali katika gwaride la leo la jeshi

Televisheni ya taifa ya nchini China CCTV imeripoti kuwa maadhimisho hayo yalilenga kusheherekea siku hii baada ya kupita hatua ya kuwa taifa maskini na sasa ni taifa la pili duniani kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani

 The massive Dongfeng 41 (DF-41) missile makes a grand appearance, in front of media at the huge parade in Beijing

Shere hizo zilipambwa na maonesho ya ndege 150 za kivita na tayari nyengtine zimeanza kurushwa pamoja na Silaha mpya za DF-41 ambazo wachambuzi wanasema kuwa zimelengwa kutumika sehemu yoyote ulimwenguni.

 Journalists work on cranes above military vehicles carrying DF-41 and DF-5B intercontinental ballistic missiles

Wananchi wengi wamejitokeza kushuudia kwa ukaribu maadhimisho hayo huku wakijipiga picha za ukumbusho wa siku hiyo muhimu katika historia ya nchi yao.

 Soldiers of People's Liberation Army (PLA) march in formation past Tiananmen Square in ChinaAskari wa kikosi cha kukomboa watu (PLA)

 The Dongfeng-41 is a nuke that 'can strike the US in 30 minutes' travelling at 7,600mphMizinga haina ya Dongfeng-41 ambayo inauwezo ya kulipua nchini ndani ya dakika 30