×

Aliyemuua Kaka Yake na Kujinyonga… Bibi Asimulia – Video

KIJANA Mmoja mwenye umri wa miaka 24, William Ally, mkazi wa Jijini Dar, anadaiwa kumuua ndugu yake, Mudy Hamis, kwa kumpiga na kitu kizito kichwani na kisha yeye kujinyonga.