Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakifunga Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Uganda katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Novemba, 2021