×

Makonda Ashtukiza Ujenzi wa Soko Magomeni – Video

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Jumanne, Oktoba 01, 2019 alifanya ziara katika Wilaya ya Kinondoni kukagua ujenzi wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali.