×

Taarifa ya HESLB Kuhusu Wanafunzi Waliokosea Kuomba Mikopo

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu-HESLB  imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao kwa mwaka 2019/2020.

Taarifa hiyo imewataka wanafunzi kuingia katika Akaunti zao na kisha kufanya marekebisho.

Mwisho wa kufanya marekebisho hayo ni Oktoba 15, 2019.

Kwa taarifa zaidi  >>> INGIA HAPA

Au OLAS >>>INGIA HAPA