

Karikari akimwongoza mteja katika duka la Tigo Mlimani City kukata keki ya kusherehekea wiki ya Huduma Kwa Wateja pamoja na kushiriki katika kutoa huduma kwa wateja. 
…Akijibu na kutatua maswali ya wateja.
…Akiendelea kuwasiliana na wateja. 
…Akiwa katika duka la Tigo Mlimani City jijini Dar es Salaam.