Global TV imefunga safari mpaka katika Jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini kuzungumza na beki wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Klabu ya Highlands Park ya nchini humo, Abdi Banda.