×

CCM Yamlipua Lema, Swahiba Wake Ajiunga CCM – Video

Kuelekea siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha kimeendelea na kampeni za Uchaguzi huo ambapo kimedai kimedhamiria kuondoa upinzani katika ngazi zote hasa katika Mkoa wa Arusha wakianza na Jimbo la Arusha Mjini linaloongozwa na Mbunge wa CHADEMA, Godbless Lema, ifikapo 2020.