×

MISS TZ Asimulia MADAWA ya KULEVYA Yalivyotaka KUMUUA – Video


Global TV imefunga safari mpaka kituo cha Mwananyamala kinacholea waathirika wa madawa ya kulevya na kuzungumza nao, ni vipi waliingia, chanzo, na madhara yake waliyoyapata mpaka sasa.

Leave a Comment