×

Video: Mwana FA Alivyowatupia Dongo Watani Wao Yanga


MSANII wa Hip Hop na mashabiki wa Simba Mwana FA amezungumzia umuhimu wa kadi za wanachama na mashabiki wa Simba huku akitaka vilabu vingine vikubwa viige mfano kutoka katika klabu hiyo.

Leave a Comment