×

Balozi wa Marekani Afurumushwa Zambia kwa Kusapoti Ushoga

SERIKALI ya Zambia imeielekeza Marekani kumuondoa balozi wake nchini, Daniel Foote humo baada ya balozi huyo kukosoa hukumu ya mahakama ya kifungpo cha miaka 15 kwa wanaume wawili wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

 

Maelekezo hayo yametolewa na Rais wa nchi hiyo Edger Lungu alipokuwa katika misa ya jumapili katika kanisa lililopo kusini mwa Presbytery Ushirika wa St. Stephen na kuongeza kuwa nchi yao haihitaji watu wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja.

 

Mwezi uliopita balozi Daniel Foote ambaye ni mwana diplomasia hakuonesha kuridhishwa na hukumu iliyotolewa kwa wapenzi wa jinsia moja na hivyo kuipinga hukumu hiyo.

 

KOCHA YANGA Azungumzia Utovu wa Nidhamu wa kipa KABWILI “Nilikua Nikampige Shoka tu afe”

Leave a Comment