×

Kabwili Apiga Mtu Ngumi, Apewa Nyekundu, Ngassa Golini – Video

Baada kipa wa Yanga, Ramadhani Kabwili kupigwa kadi nyekundu kufuatia kitendo cha kumpiga ngumi mchezaji wa timu pinzani ya Mnanila FC ya Kigoma jana, winga wa Yanga, Mrisho Ngassa akapewa gloves aingie langoni lakini baadaye akazichukua Jaffary Mohammed ‘Mnyamani’ na kuingia langoni.

 

Tazama kilichotokea mpaka David Molinga Falcao anakwenda kupachika bao na Yanga inashinda 3-0.

Leave a Comment