
Msichana Christina Peter mkazi wa Igoma jijini Mwanza ameamua kujiweka wazi kuwa anaishi na Virusi vya UKIMWI kwa miaka yake yote 22.
Christina alizaliwa na ugonjwa huo ambapo kwa kipindi chote ameshaingia kwenye mahusiano na wanaume kadhaa ambapo amekutana na mateso pamoja kunyanyapaliwa.