
NEEMA na Baraka za Mungu kwa mwaka mpya 2020! Kwa mara nyingine tena, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries International linawaletea ibada ya mkesha wa kuvuka mwaka kuingia 2020 utakayofanyika katika Viwanja vya TFF Karume, Dar es Salaam, Desemba 31, 2019, kuanzia saa 12:00 jioni hadi kuvuka mwaka.
Mtumishi wa Yesu Kristo, Nabii Joseph Malachi kiboko wa kufichua siri za ufalme wa giza na kuweka watu huru atakuwepo kukuvusha kwa maombi. Ni usiku wa kupakwa mafuta na kuinuliwa.

Sauti ya Mungu itajidhihirisha kwa kuharibu nguvu za giza zilizokufunga. Usikose siku hii ya kihistoria, Miujiza, Uponyaji na Kufungiliwa vitatawala siku hiyo. Walemavu watatembea, vipofu wataona na viziwi watasikia.
Wimbaji wa nyimbo za Injili watakuwepo kusifu na kuomba ili neema ya Mungu ianze na wewe kwa mwaka mpya 2020; Joel Lwaga, John lissu, Cosmas Chidumule, Venacne Malachi na wengine wengi.
Kwa maelezo zaidi piga namba zilizopo katka tangazo ama +255 (0)758 000030 au +255 (0)693 312 430 au + +255 (0)711 626626.

