×

Kiongozi wa Wajane Tanzania Aolewa

 

Mkurugenzi wa Umoja wa Wajane Tanzania (TAWIA), Rose Sarwatt, amefunga ndoa na mchumba wake, Haron Mpole, katika Kanisa la Magomeni SDA Jijini DSM.

 

Bi Sarwatt amekaa upweke kwa miaka 11 tangu alipoondokewa na mume wake wa awali.

 

Leave a Comment