×

Video: Mapokezi ya Nancy Sumari, Mumewe Hifadhi ya Mkomazi


MISS Tanzania wa mwaka 2005, Nancy Sumari,  hivi karibuni ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro akiwa na familia yake akiwemo mama yake, mume wake  na watoto wao ambapo ametumia fursa hiyo kuwaasa Watanzania kufanya utalii wa ndani.

Leave a Comment