×

Video: Mrembo Agoma Kuingiliwa Kinyume na Maumbile, Ashushiwa Kipigo

Angel Leso mkazi wa Mlandizi Pwani Pwani amedai kushushiwa Kipigo na Mpenzi wake, Benedict Wiso baada ya kukataa kuingiliwa Kinyume na Maumbile. Angel amesema baada ya kumpatia mpenzi wake huyo Mechi ya Kwanza jamaa huyo aliomba mechi ya Marudiano.

 

Amesema baada ya Mechi ya Marudiano akaona Benedict anakiuka masharti ya Mchezo kwa kutaka kumuingilia kinyume na Maumbile. Angel akamwambia Benedict hawezi kucheza mchezo huo ndipo Benedict akaanza kumshambulia kwa kumpiga.

 

Angel akapata upenyo akakimbia na kwenda kuripoti kituo cha Polisi Mlandizi, waliporudi nyumbani kumkamata Benedict hawakufanikiwa maana alikuwa ameshatoroka. Alipotafutwa na Mwandishi kwa njia ya simu Benedict alisema Angel ni Muongo.

 

 

Leave a Comment