×

Unyama! Baba Awakeketa Wanaye, Awajeruhi Sehemu za Siri – Video

Mkazi wa Kivule jijini Dar es Salaam, Cosmas Chacha (45) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka matatu ya kuwakeketa watoto wake (3) na kuwasabibishia maumivu sehemu zao za siri.

 

Mtuhumiwa huyo amefikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka yake na Wakili wa Serikali, Faraji Ngukah mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashidi Chaungu.

 

Leave a Comment